Light-life movement ni chama cha kitume chenye lengo la kuunda Wakristo wakatoliki wenye uwezo mkubwa wa kutumikia Kanisa na majirani. Mwanzilishi wa Light-life Movement, Padre Franciszek Blachnicki (1921-1987),
Light-life movement ni moja ya harakati za upya katika Kanisa Katoliki. Ina mizizi yake katika mafundisho ya mkutano mkuu wa pili wa Vatican na imeidhinishwa na maaskofu. Light-life movement hukusanya pamoja watu wa rika zote.
No comments:
Post a Comment
God Bless You